Posted by Williammalecela.com on Tuesday, September 20, 2016
Watu
12 wamefariki,na wengine 19 kujeruhiwa baada ya basi la New Force
lililokuwa likitoka Dar kwenda Songea kupinduka baada ya kugongana na
lori uso kwa uso huko kifanya mkoani Njombe usiku wa kuamkia leo.
0 comments:
Post a Comment