Posted by Williammalecela.com on Wednesday, September 21, 2016
 |
| Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,
Dk. Suzan Kolimba (katikati), akizungumza na madereva 10 wa Tanzania
waliotekwa na watu wanaodaiwa kuwa ni waasi Jamhuri ya Demokrasia ya
Conco (DRC), wakati wa hafla fupi ya kuwapokea iliyofanyika Uwanja wa
Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar es Salaam leo jioni. Kulia ni
Balozi wa Congo nchiniJean Mutamba na kushoto ni Mkurugenzi ;Idara ya Afrika katika wizara hiyo, Balozi Samweli Shelukindo. |
 |
| Balozi wa Congo nchini,Jean Mutamba (kushoto), akizungumza
katika hafla hiyo. |
 |
| Mmiliki wa Kampuni ya Simba Logistic ambayo magari yake na madereva
walitekwa, Azim Dewj (kushoto), akizungumza katika hafla hiyo ya
kuwapokea madereva hao. |
 |
| Madereva hao wakipokelewa uwanjani hapo. |
 |
| Mbwana Said (kulia), akielezea jinsi walivyotekwa. |
Dereva Kumbuka Seleman (kulia), akisimulia jinsi alivyotoroka na kutoa taarifa ya kutekwa kwao.
0 comments:
Post a Comment