
Baada ya asubuhi ya leo Msanii wa Bongo Fleva Diamond Platnumz kuwa surprise ma-fansi wake kwenye Ukurasa wake wa Twitter kwa Kutweet kuwa anajisikia kuachia wimbo mpya siku ya leo na ameweza kutimiza jambo hilo
kwa kuachia wimbo wake aliomshirikisha Msanii wake kutoka Lebo ya WASAFI ajulikanae kwa jina la Rayvanny (Raymond).
Unaweza ukabonyeza HAPA
kuusikiliza wimbo huo mpya na ukishaisikiliza sio mbaya ukituachia na
comment yako wakali hawa watapita hapa kujua Watanzania wameipokeaje.
0 comments:
Post a Comment