Msanii wa miondoko ya Hiphop nchini Kala Jeremiah ametunukiwa cheti cha “Society watch” kutoka katika Shirika la Society Watch.
Baada
ya kufanya vizuri na ngoma ya “Wanandoto” Kala Jeremiah ameamua
kuchukua kurasa yake ya mtandao wa Instagram kuwashukuru mashabiki wake
na wanahabari kwa kufanikisha kuweza kufanya vizuri katika wimbo wa
“wanandoto” ambao umepelekea kupata zawadi ya cheti cha “Society watch”
kutoka katika shirika la Society Watch ambalo limetambua na kuthamini
kazi ya “Wanandoto”.
0 comments:
Post a Comment