Posted by Williammalecela.com on Wednesday, September 07, 2016
Siku
ya pili baada ya mwezi huu kuanza mwanadada muigizaji wa Bongo Movie
Shamsa Ford alifunga ndoa namfanya biashara maarufu wa nguo afahamikae
kama Chidi Mapenzi.
Shamsa Ford & Chidi Mapenzi katika harusi yao.
0 comments:
Post a Comment