Posted by Williammalecela.com on Saturday, September 10, 2016
Kipindi
cha Nyuma Linah sanga aliingia Bifu zito baada ya Kuibiwa Bwana na Wema
Sepetu ambapo alilalamika sana kwenye vyombo vya habari hasa Radioni...
Hivi karibuni Linah na Mpenzi wa Wema Sepetu Idriss Sultan wanaonekana
kuwa na ukaribu usio wa kawaida kiasa kwamba inasemekati eti ni wapenzi
wanapika na kupakuwa kitendo ambacho kinaonyesha ni kama kulipa kisasi
kwa Wema....!! Haya Tuache Movie liendeleeee tutawajuza zaidi
kinachoendelea.......

0 comments:
Post a Comment