Posted by Williammalecela.com on Wednesday, September 07, 2016
Meneja wa Diamond Platnumz, Sallam anatarajia kuanzisha redio yake ya mtandaoni (online radio).
Taarifa hiyo ilitolewa na Romy Jons, anayedai atakuwa mmoja wa watangazaji wa redio hiyo itakayojulikana kama DSM FM
0 comments:
Post a Comment