Posted by Williammalecela.com on Sunday, September 18, 2016

Msanii
mahili wa filamu nchini Naigeria Jimmy Ike mara kwa mara amekua
akiwashika mashabiki sehemu za makalio.Huu ni udhalilishaji kwa kutumia
umaarufu wake kwakuwashika sehemu nyeti bila ridhaa zao.Akiwa kioo cha
jamii mashabiki wake ni walika mbalimbali haileti picha nzuri kwa jamii.

0 comments:
Post a Comment