Posted by Williammalecela.com on Thursday, September 22, 2016
 |
| Mwenyekiti wa Mtaa wa Serikali ya Mtaa wa Masaki jijini Dar es Salaam,
Kimweri Mhita (kulia), akizungumza katika na waandishi wa habari katika
hafla ya uzinduzi wa Tovuti ya mtaa huo iliyofanyika Hoteli ya Best
Western Plus Dar es Salaam leo asubuhi. Kushoto ni Diwani wa Kata ya
Msasani, Benjamin Sitta |
 |
| Mwenyekiti wa Mtaa wa Serikali ya Mtaa wa Masaki jijini Dar es Salaam,
Kimweri Mhita, akitoa ufafanuzi kuhusu matumizi ya tovuti hiyo. |
 |
| Katibu Tarafa ya Magomeni, Fullgence Sakafu (katikati), akikata utepe
kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya ya Kionondoni, aliyekuwa mgeni rasmi,
kuashiria uzinduzi rasmi wa tovuti hiyo. Kutoka kulia ni Diwani wa Kata
ya Msasani, Benjamin Sitta, Mwenyekiti wa mtaa huo, Kimweri Mhita,
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Masaki, Richard Mwakyulu na
Mjumbe wa Kamati ya Mtaa huo, Rose Mkisi. |
 |
| Mkutano na wanahabari ukiendelea kabla ya uzinduzi huo. |
 |
| Wajumbe wa kamati ya mtaa huo wakishiriki kwenye uzinduzi huo. |
Ofisa Mtendaji wa Kata hiyo, Peter Mkongereze akizungumza kwenye hafla hiyo.
0 comments:
Post a Comment