Posted by Williammalecela.com on Monday, September 19, 2016
ARUSHA:
Mwenyekiti wa UVCCM wa mkoa, Ole Sabaya amefikishwa mahakamani kwa
tuhuma za kughushi nyaraka za Serikali(vitambulisho vya Idara ya Usalama
wa Taifa).
- Alitumia vitambulisho hivyo kujipatia fedha kwa
njia ya udanganyifu, hata hivyo ameachiwa baada ya kutimiza masharti ya
dhamana
0 comments:
Post a Comment