
Hali
ni Tete Madale....Dongo la Diamond aliloandika kuhusu wale wanaojisifu
kuwa wanahela lakini watoto wao wanaishi kwenye nyumba ya kupanga
limemfikia mwenyewe ambae ni mume wa dhamani wa Zari aitwaje Ivan ,
Nimepitia kwenye mitandao nimekuta mazungumzo yaliyovuja ambayo
yanasemekana ni kati ya Zari na Ex Wake huyo baada ya Ujumbe wa Diamond
Kuwafikia mpaka watoto wao ambao walizaa pamoja.
Nimekuwekea Hapa hayo mazungumzo ambayo yasemekana yamevuja kutoka kwa mmoja wao:



0 comments:
Post a Comment