MSANII mkali kwenye tasnia ya filamu Bongo, Shamsa Ford leo (Ijumaa)
anatarajiwa kuyaanza maisha mapya ya ndoa kwa kuolewa na mwanaume
anayejulikana kwa jila laChidi Mapenzi baada ya kuwa kwenye uhusiano kwa kipindi kifupi.

Akizungumza
Shamsa alisema kuwa anamshukuru Mungu kwa kumsimamia katika jambo hilo
na anaamini akishaingia kwenye maisha hayo ya ndoa, akili yake itatulia
na anaahidi kuwa mke mwema.
“Muacheni Mungu aitwe Mungu jamani, amenitendea
mambo
makuu sana kwa sababu kuna wengi walidhani nitaaibika tena lakini
amenisimamia na aibu hiyo ameikwepesha kwangu, naolewa nipumzike sasa.
Nitakuwa mke staa wa kuigwa na watu hawataamini,” alisema Shamsa.
0 comments:
Post a Comment