Tangu
Mwanamuziki Diamond Platnumz aachie wimbo wake wa Salome
aliyemshirikisha kijana kutoka kundi lake la Wasafi, Raymond a.k.a
RayVanny, amekua akipost video fupi fupi za mashabiki zake wakiwa
wanacheza au kuimba wimbo huo uliotokea kupendwa sana na mashabiki wa
mwanamuziki huyo.Jioni ya leo ameweka post ya video ya Msanii Wema
Sepetu akiimbawimbo huo wa Salome na kumtaja Mshindi wa Big Brother ambaye pia tumekua tukifaahamu kuwa ndiye mpenzi wa sasa wa mwanadada huyo na kusema kwamba ndio Salome wake.Tazama video hiyo hapa chini, na kisha soma maneno aliyoweka Diamond kama Caption ya video hiyo:-
Hivi huku patakuwa ni kupatwa kwa nini….??? Tisha sana #SALOME wake @idrissultan
F
0 comments:
Post a Comment