Mremo mwenye Macho ya Kusinzia Jackline Wolper Ndiye Mrembo Maarufu
Anayeongoza kulala na kuchangia mapenzi na waganga wa
Kienyeji.Kutokana na Rekodi yake Wolper Ametajwa kuwa na Nyota ya
Mizimu kwasababu waganga wa kienyeji wamekuwa hawapati wakati mugumu
kumbeba pale wanapomuhitaji.Wolper ni mrembo hasa nashangaa sijui kwanini anapenda waganga wa kienyeji au unaweza kujiuliza
ni kwanini waganga wa kienyeji
wanampenda wolper.Shosti wa Wolper
akiongea alisema kuwa anawajua wanaume saba ambao ni Waganga wa
Kienyeji waliowahi kutoka na Wolper,tena si mara moja bali kwa kitambo
fulani.Pamoja na wembe kutajiwa orodha
ya wanaume wote saba ambao ni waganga wa kienyeji kwa leo lina weza
kuwataja watatu kisha wengine tutawataja matoleo yajayo.Wa kwanza ni lau kutoka Mwanza huja dar kwajili ya shuguli zake za uganga,Mganga mwingine ni Fadhilna wa Mwisho kutoka Nchi jirani ya Kidemkokrasia ya Kongo
chanzo wembe
0 comments:
Post a Comment