Mwanadada Wema akiongea na kipindi kimoja
cha redio jana mchana alipoulizwa yapi maoni yake kuhusu wimbo mpya wa
Salome
alisema wimbo ni mzuri sana na alitakiwa kufanya video lakini
ilibidi walipe mil 75 kama gharama za yeye kutokea kwenye video lkn WCB
walitaka kutoa mil 50 ndipo aliposhauriana na uongozi wake na kuamua
kukataa.“Ni kweli ningetokea kwenye video hiyo lakini walitoa pesa madafu,kaka mtangazaji siwezi kuuza sura kwa mil 50,ebu fikiria nimetumia karibia bilioni kutengeneza jina langu,nina biashara za mamilioni,leo Nassib anataka kunipa mil 50,that is not fair kwa kweli”
0 comments:
Post a Comment