Watoto hao wamekua haswaa na sasa chuo kinawaita! Producer huyo mkongwe wa muziki nchini, ameonesha picha za watoto wake wawili, Naki na Nuru Kimaryo zilizowaacha mdomo wazi followers wake wa jinsi walivyokuwa wakubwa.
“How they have grown, my babies are soon off to university,” ameandika Master J. “Mwenyezi Mungu aendelee kuwalinda.”
Sylvia, Nuru na Naki
Hivi karibuni alithibitisha kuwa na mpango wa kumuoa mpenzi wake wa muda mrefu, Sarah Kaisi aka Shaa.
0 comments:
Post a Comment