Posted by Williammalecela.com on Wednesday, September 21, 2016
|
Ndege
mpya ya AirTanzania ikimwagiliwa maji jana baada ya kutua Uwanja wa
Ndege wa Dar, kitendo kilichozua kelele nyingi kutoka kwa Viongozi na
Mashabikiwa UKAWA kwamba huenda ndege hiyo ni mbovu kama tulivyozoea
huko miaka ya nyuma.
Kumbe ni utamaduni wa Dunia nzima
kila ndege mpya inaponunuliwa ikitua iliponunuliwa humwagiwa maji na
magari ya Zimamoto kama picha zingine hapa chini zinavyo onyesha live!! |
0 comments:
Post a Comment