Muziki
ni hisia na kila mmoja anaamua kufanya kile anchojisikia bila kujali
wengine watatafsri vipi, Hiyo ni sawa na alichokifanya Bongoflava icon
Diamond Platnumz kwenye hitsong Salome ambayo amemshirikisa mtu mbaya
Rayvanny.Ndani ya siku mbili tayari Salome imekua ni ngoma kubwa ambayo
inaongelewa kila kona kwa uzuri na ubaya.Kundi la muziki “Sautisol” la
nchini Kenya limetumia ukurasa wake wa Instagram kuyaelezea mahaba yao
kwenye
ngoma hiyo baada ya kutundika picha ambayo ni moja kati ya Scenes
zilizoonekana kwenye Video “Salome” ikiwa na maelezo yaliyosomeka ”
Ni Bora Dunia ingejua kiswahili, maana hii ngoma ni matatizo… #salome @diamondplatnumz x @rayvanny #TraditionalVersion.
Huenda
salome ikawa moja kati ya ngoma za kiswahili zenye ushawishi mkubwa
siku za mbele na tusishangae kuona au kusikia imefanywa covers nyingi
kulio ngoma yeyote ya Bongoflava.
”
0 comments:
Post a Comment