Posted by Williammalecela.com on Wednesday, September 21, 2016
 |
| Wananchi wa kitongoji cha kwebamba katika Halmashauri ya
Bumbuli Wilayani Lushoto Mkoani Tanga wamemtaka Waziri Lukuvi kuingilia
Kati mgogoro wa mipaka unaofukuta Kati yao na Halmashauri ya korogwe
kabla ya kutokea machafuko.
Mzee Athuman Akida alisema kuwa ramani inaonyesha kuwa
kwebamba iko Bumbuli lkn wanawashangaa wilaya ya Korogwe kusema iko
kwao.
Akida alisema mgogoro huo umekuja baada ya kitongoji chao kugundulika kina Madini aina ya Siricon.
|
0 comments:
Post a Comment