Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na
Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akizungumza na waandishi wa habari za
Michezo Jijini Dar es Salaam alipokutana nao leo Jijini Dar es Salaam
wakati wa semina maalum iliyoandaliwa na Kampuni ya Selcom kujadili
kuhusu matumizi ya mfumo wa mashine za tiketi za kieletroniki katika
Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Chama cha waandishi wa habari wa
michezo Tanzania (TASWA) Bw. Juma Pinto akizungumza katika semina maalum
iliyoandaliwa na kampuni ya Selcom kwa ajili ya kujua matumizi ya mfumo
wa mashine za kieletroniki katika Uwanja wa Taifa Jijini dar es Salaam
Meneja wa Miradi kutoka kampuni ya Selcom
Bw. Galus Runyet akitoa maelezo kwa waandishi wa habari za Michezo
kuhusu matumizi ya mfumo wa mashine za tiketi za kieletroniki katika
Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam.
Meneja wa Miradi kutoka kampuni ya
Selcome Bw. Galus Runyet akitoa maelezo kwa waandishi wa habari za
Michezo kuhusu jinsi ya kutumia kadi ya mfumo wa mashine za tiketi za
kieletroniki katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya waandishi wa habari za Michezo
wakimsililiza Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape
Moses Nnauye wakati wa semina maalum iliyoandaliwa na Kampuni ya Selcom
kujadili kuhusu matumizi ya mfumo wa mashine za tiketi za kieletroniki
katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam.
Picha Zote na Raymond Mushumbusi WHUMS (P.T)
0 comments:
Post a Comment