Ciuple
yao Ambayo iliaminika kuwa bora kuliko nyingine zote katika uhusiano
wa mastaa wa kibongo kutokana na jinsi ambavyo walibambana kuvutiwa
watu wengi zaidi. Hata hivyopamoja na kuvutia walipokuwa wapenzi Mbongo
Movie Wema Isac Sepetu na Mbongo Fleva Nasibu Abdul Diamond
Platinums Wamebainika Kusumbuliwa na Gonjwa moja la Kijamii.Kumbukumbu
zinaonyesha kuwa Miaka 3 iliyopita Wakati Baba yake alipokuwa anaumwa
Wema yeye alisafiri kwenda Hong kong kula Raha na Diamond
platinums.Kumbukumbu zinaonyesha Wema alikuwa mwepesi kutumia Fedha za starehe zenye Kumfurahisha yeye na Diamond wake kuliko kutumia japo nusu kugharamia Matibabu ya Baba yake.
platinums.Kumbukumbu zinaonyesha Wema alikuwa mwepesi kutumia Fedha za starehe zenye Kumfurahisha yeye na Diamond wake kuliko kutumia japo nusu kugharamia Matibabu ya Baba yake.
Kwamujibu
Taswira ya sasa Wema amekuwa mwenye uchungu na Maumivu ya Baba wa
Diamond akiahidi kusaidia Matibabu ya Mzee huyo wakati wa baba yake
yalimshinda.
Kipimo
kinachodhihirisha kuwa Wema na Diamond wana Gonjwa Mojalinalofanana
ni kwamba ni wepesi mno kutoa Misaada kwa wengine lakini ni wagumu
kujitoa kwa Baba zao.
Maelezo
ni kuwa Diamond alijitolea kumsaidia matibabu na hata Kumnunulia
Gari Aliyekuwa Mewanamuziki Mkongwe Marehemu Muhidin Maalim Gurumo
wakati baba yake amejiweka kando utadhani hausiki.
chanzo WEMBE
0 comments:
Post a Comment