Mkuu
wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda Jumapili hii aliahidi
kumkutanisha Said Ally aliyepoteza uwezo wake wa kuona Buguruni Sheli
jijini Dar es salaam, na leo hii amemkutanisha na madaktari wa
Muhimbili.Said Ally amechukuliwa Jumatano hii nyumbani kwake na gari ya mkuu wa mkoa na kupelekwa moja kwa moja katika hospitali hiyo.
Makonda ameandika kwenye Instagram, “Nawashukuru madaktari bingwa kutoka hospitali ya Muhimbili, kwa kazi kubwa wanayoifanya kumsaidia ndugu yangu Said Ally Mrisho apate kuona tena, nawaomba tuendelee kumuombea”, aliandika Makonda.
Mkuu huyo wa mkoa, amejitolea kumsaidia kijana huy
0 comments:
Post a Comment