Posted by Williammalecela.com on Monday, October 03, 2016
Imefichuka kuwa mama Diamond alitoka na Muarabu na kuzaa mtoto wa kike ambaye sasa ni mkubwa ambaye anajulikana kwa jina la Esma Mtoto huyo amesema kuwa huwa hapendi kufahamika ndio maana anajitahidi kuweka 'low profile'. Mtazame Hapa mtoto huyo ambae ni Nusu Mwarabu nusu Mwafrika:
0 comments:
Post a Comment