scandal za wanaume toka kawa na diamond, achilia mbali mashauzi
na dharau ambayo yanaweza kutokana na malezi au hali ya kimaisha, kwa
hilo tu nampongeza zari kwa kuficha aibu ya kaka yetu ambaye alikua
akiitwa tasa kila siku(ikiwemo Mimi)
Tukija upande wa pili, ina
maana diamond wanawake wote wa bongo ni ****** kiasi hicho mpaka uende
ng'ambo?? Sitaki kuamini ujue, mi roho inaniuma ujue?? Mjengo wote ule
umeenda kwa waganda? Maana mama teeh hataki ujinga Yule na hacheki ovyo
na watu, hata kuja kwako mashabiki tutashindwa ujue maana mwanamke hana
ushoga wala ujirani na mtu khaaa ,kama Salome tu alisahau hereni wakati
mkifanya shooting kaumbuliwa vile hadharani haya sie majirani ya madale
tukija tukasahau viatu si ndo vitatangazwa snapchat nzima?? Waah hapana
kwa kweli
By Warumi/JF
0 comments:
Post a Comment