Posted by Williammalecela.com on Sunday, October 23, 2016
 |
| Wanamuziki maarufu Ali Kiba na Chiristian Bella ndio watakaotumbuiza siku ya Finali ya Mashindano ya Miss Tanzania ambayo mwaka huu yatafanyika mjini Mwanza katika uwanja wa ROCK CITY MALL, tarehe 29/10/2016. |
0 comments:
Post a Comment