Inasikitisha
kwakweli, ameokolewa.... na simba walioanza kumla waliuwawa. aliingia
kwenye jumba la simba akavua nguo na kuwadandia badae
akachenjiwa...kwenye nguo zake kimekutwa kikaratasi-suicide
note.
..kwamba mwisho wa dunia umefika kwahiyo anajiwahi.....ana miaka 20...inaonekana alikua muumini maana alikua akimtaja yesu....walioshuhudia wamesema....nchini Chile.
..kwamba mwisho wa dunia umefika kwahiyo anajiwahi.....ana miaka 20...inaonekana alikua muumini maana alikua akimtaja yesu....walioshuhudia wamesema....nchini Chile.

0 comments:
Post a Comment