"Relaxing
at home downtown back to back downtown to Downtown ...inaitwa Elimu ya
KUJITAMBUA yaani ninajua kwamba kuna wenye pesa kunizidi na wenye maisha
kunizidi I know that .....ila haya ndio maisha yangu madogo lakini very
Solid and Stable and I am very proud to have them and even to Show it
here at my Instagram ....my life is about me FIRST and then the rest of
the World ....hahahaha so take or leave
it with me but this is my little life I lov it and you just enjoy the
Show......nilichojifunza hapa mjini ni wajanja wengi hawana makazi ya
uhakika ila ni kina Baba mwenye nguo za mtumba na sio Baba mwenye nyumba
U know .....hahahahaha U know guys Wabebezzzz wanapenda Mamen mwenye
home sio kuruka ruka gesti U know.....kama kuna MBEBEZZZ hujalala huko
please NIRUSHIE BONGE LA KISS ya Kulalia U know MUAAAHAAAAAZZZZ!" - le
Mutuz Nation
— at City Center, Dar-es-salaam.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


0 comments:
Post a Comment