Posted by Williammalecela.com on Friday, October 14, 2016

MAREKANI:
Maafisa 10 wastaafu wa kitengo cha ulipuaji wa nyuklia wamepinga Donald
Trump kuwa Rais. Wamedai hana utulivu wa kukabidhiwa kifaa cha ulipuaji
wa bomu la nyuklia.
Maafisa hao katika barua yao wamesema mtu anayekabidhiwa jukumu hilo zito anatakiwa awe mwenye busara na maamuzi sahihi.
0 comments:
Post a Comment