Mke wa mchekeshaji steve Nyerere amezungumzia kuhusu dada mmoja wa bongo movie kunyang'anya mume wake na kudai kuwa steve ataenda popote lakini atarudi tu kwa kuwa yeye ana watoto wake, amesema kuna wadada wenye maishamagumu wanataka kuwa na maisha bora ndio maana wanamsumbua sana mumewe lakini kamwe hawatakuwa naye na hana wasiwasi Video:
0 comments:
Post a Comment