![]() |
| Mwengi ni mbebzz wa zamani wa Dansa wa Diamond Platnumz Mosse Iyobo, alianza kumchokonoa Baby wa sasa wa bawana wake wa zamani Aunty Ezekiel, kumbe kaingia Choo cha kiume tizama majibu ya Aunty tena mchana kweupe bila chenga yaani Makavu Live!! |
Anty Ezekiel aliamua kujibu mapigo hivi:
Auntyezekiel
"Baby Cjui Ulimpa Nn yule jaman Mana anazunguka wee Anatoa tako koteee
Ila hakusahau jaman Kumbe hata aliporudi back alikuwa mawindoni
kashindwa kaanza Upya looh!Mlikuwa wote hata Mombasa hawakukujua maskini
leo Hadi Afrima wanakutambua kumbe alikuwa anafatilia maskini bado ndio
kwanza tunaanza safari...Ma lv mdogo mdogo ndio mwendo Achana na maneno
yake alikuacha kwenye Geto wiki na miezi yy busy na Mganga leo ndio
anaona wamaana au unaona watu hawaongei ww Binti plz just leave ma
family Mama katafute na ww pakunyakua ukipata viwembe tena vumilia
mwisho utapata wako ni Kupambana tuu Huyu si wako tena alichoka kukaa
geto ma lv Pesa zote Unakula hata kupanga chumba kimoja kilikushinda
hiyo Family au Mfano Hebu kataftie mtoto Baba acha kushindana na Mm am
not ur type ma lv ... an huyu kurudi huko sahau boo boo an Ni mwanzo na
mwisho kupost kuhusu ww nahisi Followers nilokupa wanakutosha.byee Enjoy
ur life😘 #hutakiwikufanyahasira unatakiwa kukakaamaa kwani Ujenzi wa
bila kazi Umemaliza#povulangulamwisho byeee" aliandika Aunty Ezekiel
Kwenye Ukurasa wake wa Instagram

0 comments:
Post a Comment