Miongoni mwa bilionea wa Afrika aliyekuwa
Dewji amemwaga sifa kwa mwanamuziki Diamond Platnumz kuwa ni miongoni mwa wanamuziki wa wakubwa barani Afrika lakini mwenye uwelewa mzuri.
Kupitia account yake ya Instagram, Mohammed Dewji, aliweka picha yake akiwa na Diamond na kuandika maneno hayo kwa Kingereza yaliyo someka hivi..
Today afternoon with @DiamondPlatnumz

One of Africa’s biggest and smartest artists in the music industry #TanzaniansUnite

Unadhani Diamond Platnumz ni miongoni mwa wanamuziki wakubwa barani Africa na anauelewa mpana?
0 comments:
Post a Comment