Ben Pol Dodoma ni nyumbani kwao na mimi ni ukweni ndomaana alichukuwa nafasi hiyo ya kuntambulisha kwa ndugu zake na familia,
Ben Pol alinipadisha kwenye stage kunitambulisha ndo ikatokea kitu kama kile sio kwamba tulifanya show pamoja mimi na yeye hapana .Snura
0 comments:
Post a Comment