Wiki iliyopita Msanii Baraka Da Prince alijigamba kuporomosha mjengo wa
maana na kudai ametumia kiasi kikubwa sana na bado haujaisha. Jeuri hiyo
ikapelekea hata kubadilika kwa kiswahili chake na kujigamba kidon don
na kusema ''Nawachekaga kwa madharau mengi hahahahahaha watu wenye maneno MINGI MINGI''
Ukweli umewekwa wazi na Alawi Junior ambaye ameoa kwenye familia ya akina Naj, alawi amemporomoshea sifa kede kede mama mkwe wake (Mama Naj) kwa kushusha mjengo huo.
Ukweli umewekwa wazi na Alawi Junior ambaye ameoa kwenye familia ya akina Naj, alawi amemporomoshea sifa kede kede mama mkwe wake (Mama Naj) kwa kushusha mjengo huo.
0 comments:
Post a Comment