Waziri wa Mambo ya ndani ya Nchi.Mh:Mwigulu Nchemba akifanya mazungumzo na Mh:Rais wa
Zanzibar kabla ya kuanza ziara ya kikazi visiwani humo iliyolenga kukutana na vikosi vya jeshi la polisi,NIDA,Uhamiaji n.k.
Zanzibar kabla ya kuanza ziara ya kikazi visiwani humo iliyolenga kukutana na vikosi vya jeshi la polisi,NIDA,Uhamiaji n.k.
Wakiagana mara baada ya Mazungumzo.
Picha/Maelezo na Festo Sanga Jr.
0 comments:
Post a Comment