Usiku huu wa October 29 2016 imefanyika fainali ya Miss Tanzania kwa mara ya kwanza nje ya Dar es salaam toka kuanzishwa kwake… kwa miaka zaidi ya 15 toka kuanzisha kwake limekua likifanyika Dar es salaam.
Miss Tanzania 2010 Genevieve Mpangala akihojiwa
Majaji wa Fainali yenyewe
Hashim Lundenga, Mwenyekiti kamati ya Miss Tanzania.
U
0 comments:
Post a Comment