Baada ya idris sultan kuonekana kufulia mjini msanii ney wa mitego
ameibuka na kumuuliza idris sultani kuhusu milioni 500 alizoshinda
kwenye big brother
Ney wa mitego" baada ya kushinda big brother watu wadau walimkanya kuhusu wacheza sinema wa bongo, ila inabidi atuambie pesa nyingi zile milion 500 zimeisha ishaje fasta hizi kijana mwenzetu, milioni 500 si mchezo, idris tuambie zimeishaje?

0 comments:
Post a Comment