Madai ya Nicki Minaj kumwagana na Meek Mill yalianza kuvuma tangu
Agosti, mwaka huu lakini juzikati yalitokea mazingira ya kudhihirisha ni
kweli penzi kati ya wawili hao halipo tena.
Kudhihirika huko kumekuja baada ya wadau wa Lebo ya Muziki ya Tidal
akiwemo Beyonce na mumewe Jay Z na TI kujumuika pamoja kwenye chakula
cha usiku ambapo licha ya Meek kuwa mmoja wao, hakuonekana na badala
yake Nicki alifika peke yake.
Mbali na hilo inaelezwa kuwa, kuna matukio kadhaa ya hivi karibuni
ambayo iliratajiwa Nicki aonekane akiwa na Meek lakini haikuwa hivyo,
kitu kinachowafanya wengi kuamini kuwa, penzi la wawili hao limevunjika
rasmi.

0 comments:
Post a Comment