Posted by Williammalecela.com on Wednesday, October 26, 2016
Hii sio ya kukosa kwa wapenzi wote wa muziki mzuri na hasa wale wanaojiita Team Kiba.
Ni kipande tu cha wimbo mpya wa Alikiba ambao unaitwa Risabela na unaotarajiwa kutoka muda wowote kuanzia sasa. Perfect255 inakupa nafasi ya kukisikiliza kipande hicho. Play hii video hapa chini kusikiliza.
0 comments:
Post a Comment