Saa 12:24 Aliyekua mfanyakazi wa BOT Samson Magoti akitoka nyumbani kwake kuelekea kazini BOT.
Saa 12:17 Samson Magoti akiwa kwenye Bodaboda akiwa usafiri wa Daladala kuelekea kazini.
Samson Magoti akichukia usafiri wa Daladala katika kituo cha Yombo kuelekea kazini.
2:03 Asubuhi walikutana nje ya ofisi za BOT na wafanyakazi wenzanke waliofukuzwa kazi 1993.
2:30 Asubuhi waliungana kamati ya watu watano, wakaelekea ofisi za BOT kwa ajili ya mazungumzo na Afisa Rasilimali watu wa Benki hiyo.
Chanzo: Mwananchi.
0 comments:
Post a Comment