Posted by Williammalecela.com on Friday, October 14, 2016
Alipotangaza
kuivunja #TeamWema wengi waliichukulia kama masihara lakini kwa hiki
alichokifanya mrembo Wema Sepetu ni dhahili malkia huyo wa movie za
Bongo yuko serious.
Wema Sepetu amemchana shabiki aliepost picha yake (Wema) akiwa na Ex- wake Idris Sultan na kuipa caption "Mood"
ANGALIA HAPA ALICHOKIJIBU WEMA SEPETU:

R
0 comments:
Post a Comment