Chui akiwa katika mawindo dhidi ya mamba.
Chui akiogelea katika maji wakati akielekea kumfanyia vurugu mamba aliyekuwa amekaa nchi kavu.
Chui akiwa amemng'ata mambo katika mkia baada ya kumvizia.


Imeandaliwa na Dotto Kahindi kwa msaada wa mtandao
Ni
nadra sana kuona chui akimgeuza msosi Mamba lakini kupitia picha
zifuatazo hapo chini utajionea hatua kwa hatua chui akikukuruka na mamba
lengo ni kumg
euza mwenzake kitoweo cha siku.
Chui
alianza kunyata taratibu kabla ya kuogelea ndani ya maji kumfuata mamba
na baadae kuanza kumrarua kwa kucha na meno jambo ambalo lilikuwa gumu
kidogo.
baada ya kuona mambo yamekuwa magumu nchi kavu akaamua kumpeleke kwenye kina cha maji. tukio hili limetokea Brazil.
0 comments:
Post a Comment