![]() |
| BEN POL |
MKALI wa miondoko ya R&B, Ben Pol ameamua kujiongozea kipato
chake kwa kufanya shughuli za kilimo licha ya kufanya muziki mzuri.
Ben pol ameweka wazi kuwa yeye anafanya kilimo cha cha Mpunga na
Vitunguu na kwamba amekuwa akijiamni kutokana na kujipatia fedha zaidi na kuwa na
uwezo wa kufanya kazi yenye ubora zaidi.
“Mimi ni mkulima wa zao la vituguu pamoja mpunga, mimekuwa na
utaratibu kila nikipata kiasi cha fedha uwa nawekeza katika biashara kwa sababu
naamini itanisaidia hapo baadaye” anasema Pol.
Hata hivyo ben Pol amewashauri wasanii wengine kuangalia fursa
nyengine za biashara ili kujiongezea kipato.
Mwisho ben Pol ameshauri kudumisha utamaduni wa nyumbani Tanzania na wa Afrika ambao ni rafiki kwa
jamii na kuacha kuiga utamaduni wa
wezetu (Wazungu).
Source;JAMHURI

0 comments:
Post a Comment