Hii baada ya Diamond na Mavoko kuachia ngoma povu likamtoka Ommy
Dimpoz akimshushia Diamond kuwa aache mziki wa ujanja ujanja akimanisha kuwa
aache tabia zake za kununua view, tunzo kuwa awekeze kwenye mziki mzuri
usio na ujanja ujanja naye Diamond hakuwa mbali akamjibu kuwa nae apunguze
tabia za kipunga, soma habari zaidi:-
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment