Posted by Williammalecela.com on Tuesday, November 08, 2016
Aliyewahi
kuwa Waziri mwandamizi katika wizara mbalimbali, ikiwemo Wizara ya
Elimu, Ndg.Joseph Mungai, amefariki dunia jioni ya leo, katika hospitali
ya taifa ya Muhimbili alipokua akipatiwa matibabu. Mungu ampumzishe kwa
amani.!
 |
Geofrey Mungai mtoto wa Marehemu amesema marehemu alipelekwa hospitali
ya Taifa Muhimbili baada ya kuanza kutapika mfululizo na kudhaniwa
kwamba alikuwa amekula kitu kibaya.
Joseph James Mungai alizaliwa tarehe 24 Oktoba 1943
|
0 comments:
Post a Comment