Tunaweza
kubashiri kuwa raia wengi barani Afrika hawajafurahishwa na ushindi wa
Mgombea wa Republican,Donald Trump aliechanguliwa kuwa rais wa taifa
hilo lenye ushawishi na nguvu ulimwenguni.Kwa upande wa Wamerakani ambao
asili yao si 'Amerika' hasa wenye asili ya Afrika hali mbaya
zaidi.Wengi wao wamekua wakua wakionyesha masikitiko yao kwenye mitandao
ya kijamii licha ya Trump kuahidi kuwa atakua Rais wa wote bila kujali
waliomchagua na ambao hawakumchagua kwenye hotuba ya ushindi aliyoitoa.
Hizi ni baadhi ya 'Tweet' za mastaa wa muziki wa HIP-HOP ambao wengi wao wamekua wakipinga vikali matamshi tata na misimamo ya yake wakati wa kampeni zake.










0 comments:
Post a Comment