Posted by Williammalecela.com on Tuesday, November 01, 2016
Jose Mourinho na kikosi chake cha kwanza cha Mashetani wekundu walihudhuria katika hafra ya kuungana na shirika la Unicef kupata chakula cha jioni kwa ajili ya kukusanya pesa ambazo zitatumika na shirika la Unicef.
0 comments:
Post a Comment