KAMATI ya masuala ya afya nchi Kenya imetoa pendekezo la kipekee mara baada ya daktari huyo feki aliyekamatwa akifanya kazi zote za daktari.
kamati hiyo imependekeza kuwa daktari feki aruhusiwe kuendela na masomo baada ya
kumaliza kutumikia kifungo chake.
Tamko hilo
limekuja mara baada ya daktari huyo kukamtwa akiwa maeshafanya upasujai wa watu
tisa ambapo wanane walipona na mmoja aliyekuwa mjanzito alifariki ikiwa
alifanikiwa kumuokoa mtoto.
0 comments:
Post a Comment