Dada
wa msanii Diamond platnuz Esma Platnumz amesema hakuwahi kumtabiria
wala kutegemea kuwa kaka yake Diamond angekuja kuwa mtu maarufu
kimataifa japo alikuwa akionesha kupenda muziki tangu akiwa mdogo.Hata
hivyo Esma amesema maswala yanayoandikwa kwenye magazeti kuhusiana na
Baba yake siyo ya kweli kwa kuwa yeye anamfahamu baba yake mzazi na mtu
aliyejitokeza kwenye magazeti siyo baba yake na hamfaham kabisa.Pia Esma
hakusita kuongelea taarifa zilizozagaa kwamba mama Daimond hana
mahusiano mazuri na wifi yao Zari na kusema hawana tatizo lolote na wifi
yao na hakuna mzazi asiye furahia wajukuu hivyo watu wanayoyaona
katika magazeti siyo ya kweli na wasiyatilie mkazo, huku akimalizia kwa
kusema kuwa anampenda mume wake Petit ManThursday, November 3, 2016

kusema kuwa anampenda mume wake Petit Man
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment