Monday, November 7, 2016

Mwimbaji staa wa bongofleva Alikiba ni miongoni mwa mastaa wa bongo waliomiliki stage ya Tamasha la FIESTA 2016 Dar es salaam na kutumbuiza, kwenye hii video ame-perform ‘aje‘ , ‘mwana‘ na hits nyingine

0 comments:

Post a Comment