Gigy Money alijizolea umaarufu mkubwa akiwa kama muimbaji,video vixen na mambo mengine kibao.Sijamskia kwa headlines lately mpaka nikaona kwenda kwa page yake nione yalojiri muleWeee nikavutiwa na anavyo vaa wigs zake confidently zikiwa na colors kali ambazo sio watu wengi they can pull off late alone look good in them au ku dare tu kuwa na colors hizo,
purple au hot pink hii
Turquoise
Black
Blonde
Hiar color ipi waona yamtoa sana Gigy








0 comments:
Post a Comment